“Maneno wanayotoleana mitandaoni ni mabaya na yananichukiza mno, sasa naomba niwaase vijana wangu waache mara moja kwani wote wana haki sawa, mwanangu bado hajaoa na huenda mmoja wao akaolewa lakini na mwingine akapewa heshima yake kama mzazi, lakini pia bado wote wawili wanaweza kuolewa kwa vile imani ya dini ya mwanangu inaruhusu.

Diamond and Zari

“Unajua wasichokijua ni kuanika siri zao mitandaoni wanajiabisha na kutukanana vile wanajiabisha, kwetu sisi wazazi tunaonekana hatuna busara kuendelea kunyamazia ugomvi huo, mimi ninachoweza kusema ni kuwaomba wanyamaze, kila mmoja afanye mambo yake, atakayeendelea kulumbana na mwenzake ndiye ataonekana ana matatizo, lakini atakayekaa kimya, huyo ndiye atakuwa mwanamke wa kuoa,” Mzee Abdul told Global Publishers.

 

Comments

comments