SHARE

[ad_1]

Dj Khaled amekiri kuwashirikisha Jay Z na Future kwenye albamu yake mpya ‘Major Key’.

1-Zdt2NFm07C9CvZJ_yGF4LQ

Dj Khaled ambaye kwa sasa yupo kwenye tour ya Beyonce ‘Formation’ wiki kadhaa zilizopita alisaini mkataba wa kujiunga na menejimenti ya Rock Nation inayomilikiwa na Jay Z.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Dj Khaled amesema, “Everybody ask me, do I have a record with Jay Z and Future on my album? Yes, of course I do. Of course it’s the biggest anthem, but I have some other ones, too.”

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments