SHARE

[ad_1]

Unadhani kama Jux asingekuwa msanii angefanya kazi gani?

12751340_948753158534317_217130013_n-1

Msanii huyo wa muziki wa R&B, amesema kama asingekuwa msanii angeingia kwenye fashion na kuwa kama mshauri tu. Akiongea na I advertising Magazine, Jux amesema, “Kama nisingekuwa mwanamuziki ningeweza kuwa mtu yeyote katika masuala ya fashion.”

“Labda kama mshauri au kama alivyokuwa Kanye West, wangekuwa watu wananifanyia. Ningetengeneza kitu changu kama sasa hivi nina brand yangu ya African Boy nahisi nipo vizuri katika hivyo vitu zaidi lakini nisingekuwa model ningekuwa kama mshauri tu kwenye mambo ya fashion,” aliongeza.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments