SHARE

[ad_1]

Hatimaye kile tulichokuwa tukikisubiri kimejiri. Jay Z amezungumzia tuhuma za mke wake Beyonce kwenye Lemonade.

Beyonce-Jay-Z

Si jambo la kushangaza, majibu hayo yametolewa kwenye mfumo wa wimbo.

Kwenye remix ya wimbo wa Fat Joe na Remy Ma, “All The Way Up,” Jay anarap kuhusu album yake Bey inayoezea usaliti aliofanyiwa na mume wake.

fat-joe-remy-ma-jay-z

“You know you made it when the fact your marriage made it is worth millions,” anarap. “Lemonade is a popular drink and it still is.”

Kwa muda mrefu kumekuwepo na tetesi za Jay kuwa na uhusiano nje ya ndoa hali iliyopelekea wawili hao wakaribie kuachana.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments