Roycashboyare

Intro:

SQ RERECORDS

Yeah haha Boyare  Roycash

Chorus:

kila mtu anatoka nje eeh

Amini machoni mwake eeh

Kila mtu antoka nje eeh

majirani shemeji zake eeh

kila mtu anatoka nje eeh

Amini machoni mwake eeh

Kila mtu antoka nje eeh

majirani shemeji zake eeh

Verse one(Roycash)

Wana mvuta daddy kumwambia heei

Wana taka kuni haribia

Wana mziba mama maskioa heei

Wana taka kuni haribia

Wana sema mimi  sina pesa heei

Eti baibe nta mtesaaa

Sebuleni chumbani nina wangu heei

Nta ishi na yeye popote

Wabaya wangu wana sema ni mwache

Mchana kutwa washinde wani cheke

Sikubali na sema No..

Baibe wangu na kuita njoo

Sikubali na sema No..

Baibe wangu na kuita njooo oh

Chorus:

kila mtu anatoka nje eeh

Amini machoni mwake eeh

Kila mtu antoka nje eeh

Majirani shemeji zake, eeh

kila mtu anatoka nje eeh

Amini machoni mwake, eeh

Kila mtu antoka nje eeh

Majirani shemeji zake, eeh

Verse two(Roycash)

Wana chukia chukia chukiaaaa

Wana omba ni zame kwa tope

Kwenye dunia dunia duniaaa

Nta ishi na yeye popote

Wana chukia chukia chukiaaaa

Wana omba ni zame kwa tope

Kwenye dunia dunia duniaa

Nta ishi na yeye popote

Huyo huyo huyo huyo

Mimi na yeye milele

Mbuyo mbuyo mbuyo mbuyo

Nta ishi na yeye popote

Huyo huyo huyo huyo

Mimi na yeye milele

Mbuyo mbuyo mbuyo mbuyo

Nta ishi na yeye popoteeeh

Chorus:

kila mtu anatoka nje eeh

Amini machoni mwake, eeh

Kila mtu antoka nje ehh

Majirani shemeji zake, eeh

kila mtu anatoka nje eeh

Amini machoni mwake eeh

Kila mtu antoka nje eeh

Majirani shemeji zake eeh

Verse three(Boyare)

Yeah

Baibe mesea past yako yote naijua

Ulinyeshe waga na mvua

Na kuchomwa pia na jua

Hiyo yote ulipitia

Juu, Me sikuwai kuwa

Lakini venye nko

Hiyo past

Itawai kuwa

Mesea pia,

Mapenzi ni kitenda wili

Mapenzi ni ya wawili

Mapenzi pia ni siri

Mbona basi

Unitese tu akili

Au ni venye sina hii uzito wa shilingi

Sikatai wee uni sho

upendagi hao madingi

That’s why

Me ukuwaga mbioni

Nki plan our future

Na mesea tutu n’gara

Hata bila mafuta

So wacha hii love igrow

Fungate uki ji skia

Jo ku go

Any time wee ni show

Funga macho

Nku show kitu mzuri

Upendagi story

Lakini hii nayo ni so

Baibe hii love yetu in strong

Na tuki taka igrow

Lazima tupate blessing

kwa maparo wetu

Kutokea home

YEAH

Chorus:

kila mtu anatoka nje eeh

Amini machoni mwake,eeh

Kila mtu anatoka nje eeh

Majirani shemeji zake eeh

kila mtu anatoka nje eeh

Amini machoni mwake eeh

Kila mtu antoka nje eeh

Majirani shemeji zake eeh

Bridge:

Atoki kabisa kwa nyumba

Hata kama maisha na yumba

Na amini nime pata

mchumba heei

Nta ishi na yeye popote

Atoki kabisa kwa nyumba

Hata kama maisha na yumba

Na amini nime pata

mchumba heei

Nta ishi na yeye popote

Outro:

hahaha Boyare boy wa mtaani

Roycash boy wa mombasani

yeah

Comments

comments