BoyareIntro:

Zanguuuu,

once again hii ni ya mega, hii ni ya mega

“Zanguuu” nixsooo Inaiwa B.I.G yaani beat iki gonga

chorus:

(Za za zangu ni magizani) zanguu ehee

Zanguuu me uficha white juu zangu ni magizani.

Verse one

(One -two)yeah Siezi kuficha me ufaidika tu magizani, kwanza stima ziki lost mtaani ukiskia nduru hata kaa ni kwa jirani(uuuwii)uwezi toka. Juu after kuonwa kide.., kidevu magizani na geri ya mtu kumi, na ujai jua ni kina nani.Hii mbota kwa shop ina toka brown tano, bling ni nge endea, nge ongeza zingine tano, come kwangu kejani ujue utamu wa magizani. Si kelele aaah au kitu fun.Nlikua sina any sai na doz kwa compressor, nlikua na madeni nta lipa through m-pesa.Me ufurahia maisha yaani daily me utesa, na mademu wazuri kaa akina Nekesa, Lencer, Jezreel hii list iwezi isha kuwa mpole nkusho wapi me ukesha.

chorus:

(Za za zangu ni magizani) zanguu ehee

Zanguuu me uficha white juu zangu ni magizani

Verse two

(One-two)Yeah, Maboyz ucheza mbaya ikifika magizani, mtaa yangu pia uwezi pita magizani, kaa me nlichezwa mbaya na me ni boy wa mtaani, ustake jua kuvuliwa adharani(oya toa toa). kaa si ujanja kaa karanja si nge nyuwa magizani, that’s why me utembeaga na watu kaa, akina Dainare wa Beat Iki Gonga. Watu wajanja si kukaa kimalala, tembesha magwadoo.Na kaa ni deal me uchezaga chini ya maj,i si chezagi colabo juu zi ukuwaga na utiaji.kaa ni msupa me u prefer, ma virgin. Alama ya duku duku kiwanjiko just imagine, omba tu sana tusikutane magizani, ju rule manze ni one man standing. Either wee ubaki au me ni baki ,either ubaki au me ni baki.

chorus:

(Za za zangu ni magizani) zanguu ehee

Zanguuu me uficha white juu zangu ni magizani

Verse three

Nilikunusa nywele, nka kushika face, nkajua tu ni wewe.Nka jaribu kuku peleka kwa light, uka nisho “aki BOYAREE zangu ni magizani” haina mambo, kenye nshai cheki kwako ni hight na sauti juu si ukutanaga kaa umedunga kabuti. Hakuna mtoto mzuri hata udai yule wa jirani, juu jana nli mwona kaa ame kunjwa magizani. Na nani? Nani tena bro kaa si mimi Boyare (ulizia uta ambiwa) boy wa mtaani. kaliniruda kaa muguka, usione ati me ni jorker uliza bro yako akusho eehhe MEGA Nicky, akiwa na sisi. Magizani tuna tawala jiji. Nairobi, kampala hadi bongoo zetu ni magizani.

chorus:

(Za za zangu ni magizani) zanguu ehee

Zanguuu me uficha white juu zangu ni magizani

outro:

Mega Nicky akiwa na sisi, Beat Iki Gonga tuna tawala jiji. Nairobi,Kampala hadi Bongo, zetu ni magizani, Nairobi, Kampala hadi bongo, zetu ni magizani. BOYARE BOY WA MTAANI hahahah

Comments

comments