SHARE

[ad_1]

Msanii wa muziki wa Bongo Flava kutoka label ya Wema Sepetu, Endless Fame Film, Mirror anajipanga kuachia kolabo zake mbili ambapo moja amemshirikisha Ommy Dimpoz.

Mirror_full

Mirror ameimbia bongo5 kuwa kwenye kazi nyingine amemshirikisha Jordan.

“Sasa hivi kuna ngoma zipo mbili na nimeshashoot pia video. Kuna moja na Jordan kutoka Dejavuu video imefanyika South Africa na kuna nyingine pia nimefanya na Dimpoz,” amesema.

“Zote zipo tayari muda tu ukifika zinatoka, mashabiki wasione kimya ndio nilikuwa nawaandalia kazi nzuri,” ameongeza.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments