[ad_1]

Jacqueline Wolper anataka ulimwengu ujue kuwa penzi lake na Harmonize ni real tofauti na mashaka ya wengi kuwa wawili hao wanatafuta kiki tu.

image

Muigizaji huyo ametumia Instagram kueleza ni kiasi gani anampenda msanii huyo wa WCB na kwamba maneno ya watu hayamuumizi kichwa.

“Kuna kitu naamini ni kweli hata ukakipima vipi… Watu hawahitaji maelezo… Wanaukupenda hawana kazi nayo na wanaokuchukia hawatakuamini
Ndo mana unashauriwa dont explain yourself… Cause in the end people who love you dont need it and people who hate you won’t believe it,” ameandika kwenye Instagram.

“Cha maana ni una amani na una furaha.. Hakuna anaejua mapito yako usiku na kuna muda hakuna anaejua kwanini unafanya baadhi ya vitu unavyofanya. Truth is kama wewe unavyoishi ndivyo na mimi ninavyoishi.. Kama wewe unavyopima kabla ya kutenda na mimi nafanya ivyo
Na trust me ukiona Nimefanya jambo ujue ndilo chagua langu na nina sababu zaidi ya kila jambo lingine,” ameongeza.

“I love Raj and am happy
For any girl who knows about love au ameshawahi kupenda anaelewa namanisha nini. Na truth is i am maybe a little excited but dont we all when we found someone so amazing?? Nina furaha isiyoelezekaThe kind ambayo ukitoka gerezani ndo unahisi
Nimekua huru.. Mwenye amani… Na ukweli ni kuna muda najifkiria naishia kucheka mwenyewe God had ways to turn things around.. Even when the whole world wakiamini tofauti
If he says this is it and YES. Basi itakua YES TU wao wajipe sababu tu.. Waponde wee.. Washauri wee … Wazodoe hadi wapasuke.. As long as usiku nikiwa nalala nina amani na mchana wakati natembea nina furaha
ITS ALL WORTH IT.”

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments