SHARE

[ad_1]

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Kala Jeremiah anaendelea kufurahia maisha na mwanae kwa kupost picha katika mitandao ya kijamii ikiwa ni wiki mbili toka mpenzi wake ajifungue mtoto wa kiume aitwae ‘Alama’.
TEMPLATE OUT

Rappa huyo aliimbaia Bongo5 hivi karibuni kuwa mtoto huyo anamchukilia kama zawadi maalum aliyopewa na Mungu katika maisha yake.

Kupitia ukurasa wake wa instagram, Kala ameandika:

Tangu nikufahamu sasa yapata wiki 3 umekuwa mtu mzuri sana kwangu. Umekuwa furaha ya kudumu moyoni mwangu. Ee Mwenyezi Mungu asante sana kwa kuniletea alama kwenye maisha yangu.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments