SHARE

[ad_1]

Usiku wa Jumamosi hii, msanii kutoka Marekani, NE-YO pamoja na wasanii wa ndani wanatarajia kulipamba jukwaa la Jembeka Festival 2016 katika viwanja vya CCM Kirumba, Mwanza.
4K0A7448
Jukwaa la Jembeka Festival

Wasanii wa Tanzania ambao wanatarajia kupamba jukwaa hilo usiku wa leo ni, Diamond, Nay wa Mitego, Barakah Da Prince, Fid Q, Rubby, JJ Band na wengine wengi.

4K0A7442
Wateja wakinunua tiketi

4K0A7445
Mashabiki wa muziki waanza kuingia
4K0A7441

4K0A7446

4K0A7447

4K0A7450

4K0A7451

4K0A7452

4K0A7453

4K0A7454

4K0A7455

4K0A7456

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments