SHARE

[ad_1]

Akaunti ya Azealia Banks imepigwa tofali na Twitter.

azealia-banks-zayn-malik-racist-twitter-rant-51116

Rapper huyo wa kike kutoka nchini Marekani, Azealia Banks amefungiwa akaunti yake ya Twitter baada ya kumtukana na kumtolea maneno ya kibaguzi aliyekuwa member wa kundi la One Direction, Zayn Malik baada ya madai ya kuiga video ya wimbo wa ‘Like I Would’.

Moja kati ya maneno aliyoandika Azealia kwa Zayn: “Damn Zayn be mood boarding the fuck of out me 😳.. I’m not mad about this though. Zayn is a cutie pie. “No lies…I see you reaching but I don’t care.”

Muigizaji kutoka Marekani, Skai Jackson (14) alimwandikia Azealia: “Azealia Banks needs to simmer down a little😶😂,” lakini baadaye Azealia alimjibu Skai Jackson kwa kuandika: “When a no hip having 14 year old has more class than you. Worry about your career. Get one. ✌🏾.”

Azealia Banks alitakiwa kufanya show kwenye tamasha la Born & Bred Festival huko London lakini uongozi ulioandaa tamasha hilo umesema umemkata Azealia kutoshiriki tena kwenye tamasha hilo.

Lakini pia wizara ya mambo ya ndani ya Uingereza ilitaka kumfungia kabisa msanii huyo kuingia kwenye nchi hiyo moja kwa moja.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments