SHARE

[ad_1]

Rapper Birdman ambaye pia ni boss wa Cash Money ametoa video ya wimbo wake wa Neno “Respek.” Video hii imefanyika nyumbani kwao New Orleans, Birdman katika hii video anaelezea kwanini atamfuata mtu anayemkosea heshima. Wimbo huu upo kwenye album yake ya Ms. Gladys, inayotoka June 24.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments