[ad_1]

Rais Barack Obama hatoenda mbali sana na ikulu ya white house pindi atakapostaafu.

Barack_Obama_family_portrait_2011

Kwa mujibu wa CNN, Obama atahamia kwenye jumba la kifahari ambalo mwanzo lilikuwa likimilikiwa na mkuu wa kitengo cha habari ikulu enzi za uongozi wa Bill Clinton, Joe Lockhart.

CNN wameandika nyumba hiyo ina ukubwa wa futi za mraba 8,200 na gharama ya kupanga ni -$22,000 kwa mwezi. Kwa sasa jumba hilo lina thamani ya dola milioni 7. Tazama video hiyo chini kuliona jumba hilo vyema.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments