SHARE

[ad_1]

Rapper Ja Rule alijikuta anasimamisha show yake iliyofanyika huko Atlantic City, Marekani baada ya shabiki aliyerusha kopo la bia kumgonga kichwani wakati akifanya show. Baada ya kufanyiwa hivyo alianza kumtafuta mtu aliyefanya hivyo.

ja-rule-wallpaper-2

Rapper huyo alitangaza dau la dola 1000 kwa mtu ambaye angemuonyesha shabiki aliyerusha kopo hilo. Mtandao wa TMZ ulipata clip ya tukio zima. Itazame hapo chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments


[ad_2]

Source link

Comments

comments